Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Yangapi sasa maneno haya ya uzushi kila siku, halafu watu bado hawaelewi somo!??? Halafu Mr Mzungu alivyowamezesha mabeberu pumba na uongo sasa wameuvumisha almost kila gazeti na chombo cha habari. Sasa hajui aanzie wapi kurekebisha makosa. Hii ni hatari kabisa
kabisa yaan naona. Unaanza kuleta muda, ngumu, hapa
 
Hapa analeta siasa za ajabu ajabu tu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Tunawasiwasi sana na mfumo wa uchakataji taarifa wa Mr Mzungu. Kinachoshangaza ajabu ni kwamba tangu apewe ile tuzo ya almost kufanikisha mkakati wa mabeberu kwenye uchaguzi mkuu, sasa kila mtu anamnukuu as if yeye ni reliable source wakati ni mpotoshaji mkubwa, mzushi na mleta-taharuki. Anajua hana la kupoteza; hana jema kwa nchi yetu
 
Yetu macho na masikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom