onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Sasa kichwa chake kimekuwa chepesi ,Ooh mwisho nimeelewa sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Chepesi lakini sasa uzushi anaoibua deile dhidi ya Rais & nchi yetu hutufanya tumwone kama mtu wa kupuuzwa. Uzalendo, umoja na weledi ndiyo silaha ya maendeleo ya kweli
Chepesi kama chipsi za stendi !!
Kweli kuna wanafiki wa kutupwa...Chepesi lakini sasa uzushi anaoibua deile dhidi ya Rais & nchi yetu hutufanya tumwone kama mtu wa kupuuzwa. Uzalendo, umoja na weledi ndiyo silaha ya maendeleo ya kweli
Stendi zimekamilika kwa kiwango cha juu sana; heko awamu ya tano kwa kazi nzuri za maendeleoChepesi kama chipsi za stendi !!
Maendeleo ni wajibu wetu kujititimua na kuongeza juhudi....Stendi zimekamilika kwa kiwango cha juu sana; heko awamu ya tano kwa kazi nzuri za maendeleo
Kweli maneno yamekuwa mengi sana mpaka tunaogopaChepesi lakini sasa uzushi anaoibua deile dhidi ya Rais & nchi yetu hutufanya tumwone kama mtu wa kupuuzwa. Uzalendo, umoja na weledi ndiyo silaha ya maendeleo ya kweli
Juhudi na maarifa vinahitajikaMaendeleo ni wajibu wetu kujititimua na kuongeza juhudi....
Vinahitajika vile vyeti vyako feki
Feki vp tena jamani ,ww si umehakikiVinahitajika vile vyeti vyako feki
Umehakiki alama za vidole vingapi???
Umehakiki vizuri milango wa nyuma umefungwa?
Umefungwa jela miaka ya nyumaUmehakiki vizuri milango wa nyuma umefungwa?
Nyuma kumeota nyasi nyingi sanaUmefungwa jela miaka ya nyuma
Nyingi sana zinahitaji kufyekwa...Nyuma kumeota nyasi nyingi sana
Nyuma huko maneno yalipozidi kuwa mengi tulisisitizwa tuendelee tu kuchapa kazi. Njia pekee ya kuwashinda wanafiki, wazushi na waongo ni kutowapatia muda wako wa kujibizana nao. Ajenda yao ni kuleta taharuki maana wao hawana la kupotezaUmefungwa jela miaka ya nyuma
Kufyeka majani hyo kazi utafanya wewe na wenzakoNyingi sana zinahitaji kufyekwa...
Kufyekwa kwa hizo nyasi mpaka kutumia jembeNyingi sana zinahitaji kufyekwa...
Jembe yupo sana tu licha ya nia mbaya ya maadui. Baada ya kiki za Nairobi, India na Mzena kugoma, sasa wanadai eti time will tell. Hawa jamaa ni wazi wamechanganyikiwa kumkichwa hawana utimamu tenaKufyekwa kwa hizo nyasi mpaka kutumia jembe