Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi nataka nilale, nitaliota kwenye ndoto kisha kesho utanipatia pesa yangu. Usiku mwemaZamiluni hili neno ukilijua au kunipa tafsiri yake tu? Believe me nakupa 50k cash saa hivi..
Sumbawanga ni sehemu nzuriUchawi wa sumbawanga
Mwema usingizi tunakutakiaSasa hivi nataka nilale, nitaliota kwenye ndoto kisha kesho utanipatia pesa yangu. Usiku mwema
Huyo ni mganga maarufu hapa jukwaaniMshana jr ndio nan huyo
Usiku mwema ulale kwa afya na Amani...ila umevunja condition ya ofa...Sasa hivi nataka nilale, nitaliota kwenye ndoto kisha kesho utanipatia pesa yangu. Usiku mwema
Jukwaani anatumbuizaHuyo ni mganga maarufu hapa jukwaani
Anatumbuiza kwa kurogaJukwaani anatumbuiza
Kuroga mchana kweupeAnatumbuiza kwa kuroga
Kuroga mnajiumuza wenyewe halafu lawama mnawatupia na kuwanyoshea wengineAnatumbuiza kwa kuroga
Ofa naitaka mkuu, nipe muda ili niweze kupatiaUsiku mwema ulale kwa afya na Amani...ila umevunja condition ya ofa...
Wengine hawana hatiaKuroga mnajiumuza wenyewe halafu lawama mnawatupia na kuwanyoshea wengine
Hatia yamtia hatianiWengine hawana hatia
Hatia ya bi dada Abrianna ni mlozi !!Wengine hawana hatia
Mada zinazohusu ulozi@Mshana Jr ni mbobezi wa mada
Hatiani kwa kuvunja sheriaHatia yamtia hatiani
Kupatia nini unamaanishaOfa naitaka mkuu, nipe muda ili niweze kupatia