Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Taifa letu lina fursa nyingi zinazoweza kutufikisha huko paitapwo Ulimwengu wa kwanza !!Kirahisi sasa tunashuhudia maendeleo makubwa ya nchi yetu kuelekea kwenye uchumi wa viwanda, maendeleo ya watu na vitu na ustawi wa mtu mmojamoja kwenye taifa letu
kwanza rais inatakiwa asiwe anawasikiliza chawaTaifa letu lina fursa nyingi zinazoweza kutufikisha huko paitapwo Ulimwengu wa kwanza !!
kwanza rais inatakiwa asiwe anawasikiliza chawa
humpoteza yeyote miluzi mingi ila wanasema ukubwa dawaAnawasikiliza wapiga miluzi humpoteza..
Dawa ya vidonge au dawa ya miti shamba?humpoteza yeyote miluzi mingi ila wanasema ukubwa dawa
Shamba la miwa linauzwaDawa ya vidonge au dawa ya miti shamba?
Linauzwa wapi? Na ukubwa gani? Bei ya heka? Ukitaka tuwe partners niambie..Shamba la miwa linauzwa
Niambie wewe kama ni mkulima boraLinauzwa wapi? Na ukubwa gani? Bei ya heka? Ukitaka tuwe partners niambie..
Bora mimi ni mwekezaji...Niambie wewe kama ni mkulima bora
Mwekezaji wa makampuniBora mimi ni mwekezaji...
Bora mama umekuja maana hali yangu masekeNiambie wewe kama ni mkulima bora
Makampuni ya azam au mo?Mwekezaji wa makampuni
Mo salah ni mchezajiMakampuni ya azam au mo?
Moza kutoka Qatar ya kaskaziniMakampuni ya azam au mo?
Mwrkezaji analeta ajiraBora mimi ni mwekezaji...
Kaskazini ndio kanda imara kiuchumiMoza kutoka Qatar ya kaskazini
Maseke sielewi maana yakeBora mama umekuja maana hali yangu maseke
Mchezaji wa timu ganiMo salah ni mchezaji
yake sukari tamu kuliko asaliMaseke sielewi maana yake