Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Taifa letu lina fursa nyingi zinazoweza kutufikisha huko paitapwo Ulimwengu wa kwanza !!Kirahisi sasa tunashuhudia maendeleo makubwa ya nchi yetu kuelekea kwenye uchumi wa viwanda, maendeleo ya watu na vitu na ustawi wa mtu mmojamoja kwenye taifa letu