Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Sana ukizingatia watu ni wachacheDuara yao siyo ndefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana ukizingatia watu ni wachacheDuara yao siyo ndefu sana
Vizazi vyako navyo vitarithi piaaaDimpozi mara nyingi zinarithiwa kutoka vizazi
Pia kuna ule utamu ambao hauelezekiVizazi vyako navyo vitarithi piaaa
Pia watoto na wajukuuVizazi vyako navyo vitarithi piaaa
Hauelezeki kwa sababu ni mambo ya siriniPia kuna ule utamu ambao hauelezeki
Sirini huwa kunafanyika mambo ya ajabu sanaHauelezeki kwa sababu ni mambo ya sirini
Sana sana biashara yenyewe haina faidaSirini huwa kunafanyika mambo ya ajabu sana
Sana tena na watu wente heshima zaoSirini huwa kunafanyika mambo ya ajabu sana
Faida huzaa hasaraSana sana biashara yenyewe haina faida
Hasara roho pesa makaratasiFaida huzaa hasara
Makaratasi hutunza kumbukumbuHasara roho pesa makaratasi
Kumbukumbu ni muhimu kwa maisha ya baadayeMakaratasi hutunza kumbukumbu
Baadaye nitakwenda kuogelea bahariniKumbukumbu ni muhimu kwa maisha ya baadaye
Baadaye nitakwenda kuogelea baharini
Nyingi kama papa na nyangumiBaharini kuna samaki wa aina nyingi
Nyangumi ni mnyama au Samaki? Ila msiniambie fisadi....Nyingi kama papa na nyangumi
Fisadi ametumia pesa za umma kwa matumizi binafsiNyangumi ni mnyama au Samaki? Ila msiniambie fisadi....
binafsi kwa kweli napendelea madada waliojazia sehem za uwaniFisadi ametumia pesa za umma kwa matumizi binafsi
Uwani kumeja maji ya mvuabinafsi kwa kweli napendelea madada waliojazia sehem za uwani
mvua naipenda inaleta stimuUwani kumeja maji ya mvua