T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hesabu ni somo gumu sanasana nimezalilika kwenye mtihan wa hesabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hesabu ni somo gumu sanasana nimezalilika kwenye mtihan wa hesabu
Hiyo, ilitokea palee mkalimani alishindwa kutafasri kwa usahihiKutemwa wapi wewe,mm haijawah nitokea hyo
sana hususani ukichanganya shule na mapenziHesabu ni somo gumu sana
Mapenzi na shule ni vitu viwili tofauti kabisa wanafunzi wengi hasa wa kike huwa wanafelisana hususani ukichanganya shule na mapenzi
wanafeli sababu wanajua wataolewaMapenzi na shule ni vitu viwili tofauti kabisa wanafunzi wengi hasa wa kike huwa wanafeli
Wataolewa wapi wengi wao wanaishia kuchezewa tuwanafeli sababu wanajua wataolewa
Lifungwe law minyororo ya chuma nakupigiliwa nyundo!!Mshindi ndio mimi naomba geti lifungwe.
tulio wengi ila tunapenda zile sketi za shuleWataolewa wapi wengi wao wanaishia kuchezewa tu
Haulali rafiki, lala asee ishakua usikuLifungwe law minyororo ya chuma nakupigiliwa nyundo!!
Usiku wa jana nimelala njeHaulali rafiki, lala asee ishakua usiku
Usiku huu nimepatwa na hofu ghafla sijui ndo jinamizi?Haulali rafiki, lala asee ishakua usiku
Nipo best, za siku... umelala nje kwanini?
Jinamizi ni kitabu kizuri nilipenda kukisoma nikiwa dalasaniUsiku huu nimepatwa na hofu ghafla sijui ndo jinamizi?
Kwa nini wewe ulikuwa umepotea sana humu mjengani?Nipo best, za siku... umelala nje kwanini?
Darasani ni sehemu iliyopenya kwenye kumbukumbu ya ubongo..utakuwa ukirejesha historia za darasani...J
Jinamizi ni kitabu kizuri nilipenda kukisoma nikiwa dalasani
Nilijipa hanimuni....Kwa nini wewe ulikuwa umepotea sana humu mjengani?
Jana nililala nje kwa sababu nilikuta wamefunga mlango wa kuingilia
Ndani kwao kuna mbwa mkaliNilijipa hanimuni....
Si ungeruka uzame ndani?
Darasani nilikuwa na kaa dawati la mbele kwa sababu nilikuwa mtoro wa shuleDarasani ni sehemu iliyopenya kwenye kumbukumbu ya ubongo..utakuwa ukirejesha historia za darasani...
Heeee unaenda kulala kwa nani kwani?Ndani kwao kuna mbwa mkali
Hanimuni imeisha umerejea rasimi mjengoni siyo mkuu?