Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Ngumu gani jamanii Abrianna unapendaga vigumu yaani umepost vingi bila kuhurumia ulaini..Mitaani kuna hali ngumu
Chini kuna heri na rasilimali ndiyo maana Mungu kaipa Hifadhi..Ulaini wa wapi tena? Naufahamu zaidi ulaini wa kule chini
Hifadhi isingekuwepo na thamani pia ingeshuka sana, au thamani yenyewe isingekuwepo kabisaChini kuna heri na rasilimali ndiyo maana Mungu kaipa Hifadhi..
Kabisa kwani haina harufuHifadhi isingekuwepo na thamani pia ingeshuka sana, au thamani yenyewe isingekuwepo kabisa
Harufu nzuri huvutia mara zote.Kabisa kwani haina harufu
Zote ni nzuri kasoro hiyo yenye rangi ya njanoHarufu nzuri huvutia mara zote.
Njano ni rangi nisiyo ipenda kwakweliZote ni nzuri kasoro hiyo yenye rangi ya njano
Kwakweli mimi naipendaNjano ni rangi nisiyo ipenda kwakweli
Naipenda sana kile kitu chakoKwakweli mimi naipenda
Chako pia nakipenda sanaNaipenda sana kile kitu chako
Sana[emoji38][emoji38], imebidi nicheke baada ya kuona ujumbe huuChako pia nakipenda sana
Huu ujumbe kwanini umekuchekesha?Sana[emoji38][emoji38], imebidi nicheke baada ya kuona ujumbe huu
Labda ujaelewa ndugu mjumbe ni mimi huo ujumbe ulinifurahishaUmekuchekesha!? Watu tupo bize na maisha huo mda wa kucheka tunautoa wap labda?
Ulinifurahisha uliporuka mferejiLabda ujaelewa ndugu mjumbe ni mimi huo ujumbe ulinifurahisha
Mfereji umefurika maji hadi huko bondeni..Ulinifurahisha uliporuka mfereji
Bondeni ya Afrika kusini au wapiMfereji umefurika maji hadi huko bondeni..
Wapi mwisho wako kufika ?Bondeni ya Afrika kusini au wapi
Kufika? Tutafika tu salama mikononi mwa mamaWapi mwisho wako kufika ?