Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Kiumbe alie hai anapumua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiumbe alie hai anapumua
Anapumua sie waswahili twasema anajambaKiumbe alie hai anapumua
Anajamba akishashibaa kandeeAnapumua sie waswahili twasema anajamba
Kandee na Soya beans yana Gesi ambayo tunaweza vuna na kujaza mitungi !!Anajamba akishashibaa kandee
Mitungi ya maji au ya mvinyoKandee na Soya beans yana Gesi ambayo tunaweza vuna na kujaza mitungi !!
Mvinyo wa nn tena jamani si tumekubaliana tunywe juiceMitungi ya maji au ya mvinyo
Juice ya ladha gani ambayo wewe unapendelea?
Tende ni tunda lenye utamuJuice ya ladha gani ambayo wewe unapendelea?
Mimi siku hizi nimekuwa mpenzi mkubwa wa Juice ya Tende
Utamu wa tende si kama ule wa muwa au asaliTende ni tunda lenye utamu
Asili mie siipendi sanaUtamu wa tende si kama ule wa muwa au asali
Sana sana basi utakua unapendelea sukari.
Sukari ya kiwanda cha kilomberoSana sana basi utakua unapendelea sukari.
Kilombero huwa wanalima miwa tu au hata mpunga??Sukari ya kiwanda cha kilombero
Unatosha kiasi cha kuweka akiba...mpunga nashauri wasilime wa masanja unatosha
Akiba ya mahindi imehifadhiwa kwenye maghalaUnatosha kiasi cha kuweka akiba...
Maghala gan😬 saivi c tuko uchumi wa kati😥Akiba ya mahindi imehifadhiwa kwenye maghala
Kati ya milima na mabonde tumevuka salamaMaghala gan😬 saivi c tuko uchumi wa kati😥
salama mikononi mwa mama samiaKati ya milima na mabonde tumevuka salama