supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Mama anastahili pongeziKufika? Tutafika tu salama mikononi mwa mama
Pongezi kubwa ni lako Supa ...za kupoteza raia mwenzetu!!!Mama anastahili pongezi
Mwenzetu katupotea hajulikani alipoPongezi kubwa ni lako Supa ...za kupoteza raia mwenzetu!!!
alipo mnyonge hapakosi CAGMwenzetu katupotea hajulikani alipo
CAG kafanya yake katuzinguaalipo mnyonge hapakosi CAG
Katuzingua kivipi tena, si tumekubaliana kuwa kazi iendelee.CAG kafanya yake katuzingua
Iendelee tuijenge jamhuri ya muungano wa TanzaniaKatuzingua kivipi tena, si tumekubaliana kuwa kazi iendelee.
Tanzania ndio nchi pekee, yenye makabila mengi afrikaIendelee tuijenge jamhuri ya muungano wa Tanzania
Afrika ni yetu tuithamini na tuitunzeTanzania ndio nchi pekee, yenye makabila mengi afrika
Tuitunze vivazi hadi vivaziAfrika ni yetu tuithamini na tuitunze
Vizazi vijavyo watakuta ipo chaliTuitunze vivazi hadi vivazi
Chalii ya arusha inavuta bangiVizazi vijavyo watakuta ipo chali
Tumbo la aina gani mkuubangi ni dawa ya tumbo
mkuu bangi inatibu tumbo la kuharaTumbo la aina gani mkuu
Kuhara ni tiba ya kusafisha tumbomkuu bangi inatibu tumbo la kuhara
tumbo halisafishiki kwa kuhara hayo ni maradhi yanayoletwa na nziKuhara ni tiba ya kusafisha tumbo
Nzi ni mdudu mchafutumbo halisafishiki kwa kuhara hayo ni maradhi yanayoletwa na nzi