Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kitu kama gani
Gani yani ulitaka kusema ujumbe uliomo ndani ya movie hiyo, kwa ufupi ni movie iliyojaa hisia kali, unakua na mpenzi mnapendana sana pasipo kujua mmoja anaumwa na ansubiri kufa, yule msichana alikua ana cancer iliyokua ikimtafuna taratibu, anakuja kufa na kumuacha mwenzake akitaabika na kutoamini amempoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amempoteza yaani ameaga, loh uchungu kweli. Umenikumbusha kama hiyo tu, yaitwa "The fault in our stars", ile movie waeza toa chozi
 
Back
Top Bottom