endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,297
- 1,877
Yaani mlivyo na chuki..Jamani,waacheni vijana wafanye Kila wanaloweza kupata rizikiSauti kuubwa ati sajili laini ya Tigo 4g Airtel 4g wanaboa kinyama yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mlivyo na chuki..Jamani,waacheni vijana wafanye Kila wanaloweza kupata rizikiSauti kuubwa ati sajili laini ya Tigo 4g Airtel 4g wanaboa kinyama yaani
Riziki ya mtu hupanga MunguYaani mlivyo na chuki..Jamani,waacheni vijana wafanye Kila wanaloweza kupata riziki
Mungu ni mwema siku zoteRiziki ya mtu hupanga Mungu
Zote ni nzima isipokua ya katikatiMungu ni mwema siku zote
Katikati ya Tanzania 🇹🇿 kuna makao makuuZote ni nzima isipokua ya katikati
Makuu ya Mungu hayaelezekiKatikati ya Tanzania 🇹🇿 kuna makao makuu
Hayaelezeki mafigisufigisu yaliyofanywa na awamu ile.Makuu ya Mungu hayaelezeki
Ile awamu bado inaendelea, na anayoindeleza ni Kipenzi chako MamaHayaelezeki mafigisufigisu yaliyofanywa na awamu ile.
Nalog off
Mama la mamaIle awamu bado inaendelea, na anayoindeleza ni Kipenzi chako Mama
Mama kasema, ukinizingua tunazinguanaMama la mama
Tunazinguana hadi mbivu na mbichi ijulikaneMama kasema, ukinizingua tunazinguana
Ijulikane mapema kama tunasafiri nijiandaeTunazinguana hadi mbivu na mbichi ijulikane
Nijiandae mapema ili nisikuchelewesheIjulikane mapema kama tunasafiri nijiandae
Nisikucheleweshe kuenda kula bataNijiandae mapema ili nisikucheleweshe
Bata ni watamu ukiwapika vizuriNisikucheleweshe kuenda kula bata
Vizuri aliwe kwa ngunaBata ni watamu ukiwapika vizuri
Nguna ya muhogoVizuri aliwe kwa nguna
Muhogo wa jang'ombe ni wimbo mtamuNguna ya muhogo
Mtamu eh, 😂 😂 😂 haya dadaMuhogo wa jang'ombe ni wimbo mtamu
Dada ameolewa kwa mahari ndogoMtamu eh, 😂 😂 😂 haya dada