Mafanikio yako sijui siri yakeHaki ni msingi wa maendeleo na huleta mafanikio
Siri yake ni Mungu pekee anayejuaMafanikio yako sijui siri yake
Anaejua tumefika wapi aseme
Aseme ukweli tusijekupishana kauliAnaejua tumefika wapi aseme
Kauli ya Jobu inatia mashakaAseme ukweli tusijekupishana kauli
Mashaka yapi hayo ndugu yanguKauli ya Jobu inatia mashaka
Mashaka yapi hayo ndugu yangu
Nyumbani kwangu nimefuga mbwaYangu ninayo nyumbani
Mbwa analinda nyumbani kwa mjombaNyumbani kwangu nimefuga mbwa
Mjomba wa zamani sio wa sasa amebadili upepo sijui kwaniniMbwa analinda nyumbani kwa mjomba
Kwanini kila nikikupa mwaliko unagoma kujaMjomba wa zamani sio wa sasa amebadili upepo sijui kwanini
Kuja kwake kumesababisha mambo mengi ya maendeleo hapa kijijiniKwanini kila nikikupa mwaliko unagoma kuja
Kijijini kuna jamaa flani mbabe huyo sijui unamfahamuKuja kwake kumesababisha mambo mengi ya maendeleo hapa kijijini
Unamfahamu lakini unakataa kuniambiaKijijini kuna jamaa flani mbabe huyo sijui unamfahamu
Kuniambia vile ulikua unamaanisha niniUnamfahamu lakini unakataa kuniambia
Nini kinakupa ukakasi katika yale niliyokwambiaKuniambia vile ulikua unamaanisha nini
Niliyokwambia ni siri, usimwambie mtu mwingineNini kinakupa ukakasi katika yale niliyokwambia
Mwingine ntamwambia asimwambie mwingine tutunze siri yetuNiliyokwambia ni siri, usimwambie mtu mwingine
Yetu yabaki kati yetu, tusipeleke kwa watuMwingine ntamwambia asimwambie mwingine tutunze siri yetu
Watu gani tena,,mbona hata mimi ni mtuYetu yabaki kati yetu, tusipeleke kwa watu