El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 483
- 2,126
Wengi wana ndoto lakini wachache wanazitimizaMafanikio ni ndoto ya watu wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wana ndoto lakini wachache wanazitimizaMafanikio ni ndoto ya watu wengi
Wanazitizama kama vile hawaoniWengi wana ndoto lakini wachache wanazitimiza
Hawaoni maisha yalivyo magumuWanazitizama kama vile hawaoni
Magumu kila mtu analalama,imekua kama wimbo wa taifaHawaoni maisha yalivyo magumu
Taifa gesiMagumu kila mtu analalama,imekua kama wimbo wa taifa
Gesi ya MtwaraTaifa gesi
Ntwara kucheleGesi ya Mtwara
Kuchele kwa machingaNtwara kuchele
Machinga bado, wapo kwenye sintofahamuKuchele kwa machinga
Sintofahamu ipi tena wakati mwenda zake aliwajengea mazingiraMachinga bado, wapo kwenye sintofahamu
Mazingira ya kuuzia vitu barabarani?Sintofahamu ipi tena wakati mwenda zake aliwajengea mazingira
Barabarani alisema wasifukuzwe kwa kuwa wamempa kuraMazingira ya kuuzia vitu barabarani?
Kura niliyopiga Kama mjumbe ilidharauliwa na mwendazakeBarabarani alisema wasifukuzwe kwa kuwa wamempa kura
Kura walizompa zikampa kulaBarabarani alisema wasifukuzwe kwa kuwa wamempa kura
Mwendazake alikua na ujasiri wa kuvunja katiba bila wogaKura niliyopiga Kama mjumbe ilidharauliwa na mwendazake
Nalog off
Kula yenyewe imeishia hewani sasa yupo kaburiniKura walizompa zikampa kula
Kaburini ni sehemu ya kuwapeleka wale waonevu woteKula yenyewe imeishia hewani sasa yupo kaburini
Wote njia yetu ni moja, tujitahidi kutenda memaKaburini ni sehemu ya kuwapeleka wale waonevu wote
Nalog off
Mema ya nchi yanaliwa na wezi tuliowaamini na kuwapa uongozi. Wananchi tunatesekaWote njia yetu ni moja, tujitahidi kutenda mema
Mema hufanywa na watu wamuogopao MunguWote njia yetu ni moja, tujitahidi kutenda mema