Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Tunateseka kwa sababu ya uoga wetuMema ya nchi yanaliwa na wezi tuliowaamini na kuwapa uongozi. Wananchi tunateseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunateseka kwa sababu ya uoga wetuMema ya nchi yanaliwa na wezi tuliowaamini na kuwapa uongozi. Wananchi tunateseka
Mungu ni mkuu yatupasa tumwabudu na kuzifuata amri zakeMema hufanywa na watu wamuogopao Mungu
Nalog off
Zake amri zilikuwa ni kuwatisha WatanzaniaMungu ni mkuu yatupasa tumwabudu na kuzifuata amri zake
Watanzania walimwogopa kwa ukatili wakeZake amri zilikuwa ni kuwatisha Watanzania
Nalog off
Wake uongozi ulikuwa ni full maigizoWatanzania walimwogopa kwa ukatili wake
Maigizo yaliyorudisha taifa nyumaWake uongozi ulikuwa ni full maigizo
Nalog off
Nyuma ya pazia alijifanya mzalendo kumbe ni mpigaji asiyefaa hata kulumagiaMaigizo yaliyorudisha taifa nyuma
Kulumagia hawezi ndio maana aliwatishi watu na kuminya uhuru wa kujieleze klili kuficha maovuNyuma ya pazia alijifanya mzalendo kumbe ni mpigaji asiyefaa hata kulumagia
Nalog off
Maovu yalitengenezwa kuonekana kama mazuriKulumagia hawezi ndio maana aliwatishi watu na kuminya uhuru wa kujieleze klili kuficha maovu
Mazuri yalifunikwa na ubaya ukatukuzwaMaovu yalitengenezwa kuonekana kama mazuri
Maovu yake yote yapo hadharani sasa hiviKulumagia hawezi ndio maana aliwatishi watu na kuminya uhuru wa kujieleze klili kuficha maovu
Hivi wafuasi wake wameanza kumgeukaMaovu yake yote yapo hadharani sasa hivi
Nalog off
Kumgeuka ni njia ya kujisafisha ili kutetea nafasiHivi wafuasi wake wameanza kumgeuka
Nafasi zilizopatikana kwa njia ya shulma huwa hazidumuKumgeuka ni njia ya kujisafisha ili kutetea nafasi
Hazidumu lakini ukijua kuzifaidi utafaidisha mpaka vitukuuNafasi zilizopatikana kwa njia ya shulma huwa hazidumu
Vitukuu vya JF kwani wanasemajeeHazidumu lakini ukijua kuzifaidi utafaidisha mpaka vitukuu
Wanasemaje kuhusu nini kamandaVitukuu vya JF kwani wanasemajee
Kamanda JF humu vitukuu vinatusumbua ama kuna biashara yeyote inaendeleaaWanasemaje kuhusu nini kamanda
Biashara lazima iendelee maana hao vitukuu ndio wanamuongezea pato Bwana MeloKamanda JF humu vitukuu vinatusumbua ama kuna biashara yeyote inaendeleaa
Melody Yao kaliBiashara lazima iendelee maana hao vitukuu ndio wanamuongezea pato Bwana Melo