Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Jamani hivi kwanini Yanga wanalialia?Uwanjani kunani tena jamani,,?
wanalialia kwa kua waliaminishwa msimu huu watachukua kombe ila kwa hiyo ndoto haipo tenaJamani hivi kwanini Yanga wanalialia?
Nalog off
Tena Yanga inahitaji maombi ya hali ya juuwanalialia kwa kua waliaminishwa msimu huu watachukua kombe ila kwa hiyo ndoto haipo tena
Juu mawinguniTena Yanga inahitaji maombi ya hali ya juu
Mawingu yana dalili ya mvuaJuu mawinguni
Mvua za masika haziishi jamaniMawingu yana dalili ya mvua
Kinouma noma ndio wimbo wa masharobaro kila siku huku wakikaa vijiweni bila kufanya kaziJamani amna ata mwenye buku tano antumie nadaiwa pesa ya umeme uku na mfuko no mweupe kinouma!!
Kinouma noma ndio wimbo wa masharobaro kila siku huku wakikaa vijiweni bila kufanya kazi
Kazi mbaya ukiwa nayoKazi ngumu kuliko zote ni ile ya kutafuta kazi
Ukiwa nayo huithamini, ikikutoka utaona umuhimu wakeKazi mbaya ukiwa nayo
Wake kwa waume wanahangaikia kuridhisha matumboUkiwa nayo huithamini, ikikutoka utaona umuhimu wake
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Matumbo ya siku hizi yanakiherehere sana, pesa kidogo tu hilo lishafumukaWake kwa waume wanahangaikia kuridhisha matumbo
Matumbo ndio yanayotufanya tuhangaike usiku na mchanaWake kwa waume wanahangaikia kuridhisha matumbo
Matumbo yangekuwa na vioo pangekuwa hapatoshiWake kwa waume wanahangaikia kuridhisha matumbo
Hapatoshi kuweka shibe ya mileleMatumbo yangekuwa na vioo pangekuwa hapatoshi
Nalog off
Milele inamaanisha niniHapatoshi kuweka shibe ya milele
Nini kisichoeleweka hapo?
hapo tushamaliza hakuna mjadalaNini kisichoeleweka hapo?
Mjadala upelekwe bungenihapo tushamaliza hakuna mjadala