Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakaniKaribu sana, jisikie upo nyumbani
Kichakani kuna nyokaNyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani
Nyoka mwenyewe mdogo, usiogopeKichakani kuna nyoka
Usiogope kwa maana Mungu yu pamoja naweNyoka mwenyewe mdogo, usiogope
Nawe unapaswa kujiweka karibu nayeUsiogope kwa maana Mungu yu pamoja nawe
Nawe unapaswa kujiweka karibu naye
Uswahili ndio jadi yetuNayeye apendezwi na haya mambo ya uswahili
Uswahili ndio jadi yetu
Bank ya nmb kila wilaya ipoYetu microfinance Bank
Ipo ila ni ya kishambaBank ya nmb kila wilaya ipo
Ni ya kishamba na kizamani sana, wangeiboresha hasa kwenye hudumaIpo ila ni ya kishamba
Huduma nyingo nchi hii zimezorotaNi ya kishamba na kizamani sana, wangeiboresha hasa kwenye huduma
Zimezorota tena ziko taabaniHuduma nyingo nchi hii zimezorota
Taaban wako chá To gang baada ya kupigwa za chembe kule DodomaZimezorota tena ziko taabani
Taaban wako chá To gang baada ya kupigwa za chembe kule Dodoma
Nalog off
Hizi nyuzi nyingine ni utopoloDodoma ni jiji siku hizi
Utopolo unapendwa sana hayo maeneo ya kwenuHizi nyuzi nyingine ni utopolo
Kwenu wanajamvi mnaendeleajeUtopolo unapendwa sana hayo maeneo ya kwenu
Nalog off
Mnaendeleaje kuufuatilia huu mtanange wa uongozi mpya wa CCMKwenu wanajamvi mnaendeleaje
Ccm ni ile ileMnaendeleaje kuufuatilia huu mtanange wa uongozi mpya wa CCM
Nalog off