HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Hai ni wilaya vile?Mazingira machafu yana athari kwa maisha ya viumbe hai
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hai ni wilaya vile?Mazingira machafu yana athari kwa maisha ya viumbe hai
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Vile alivo na jeuri sidhan kama mtawezanaHai ni wilaya vile?
Mtawezana, yule hanaga mambo mengi mbonaVile alivo na jeuri sidhan kama mtawezana
Mbona mwanzo alininanga kwa mineno michafu sina hamu nayeMtawezana, yule hanaga mambo mengi mbona
Naye itakua alivurugwa kipindi kileMbona mwanzo alininanga kwa mineno michafu sina hamu naye
Kile huwa anacho toka muda mrefuNaye itakua alivurugwa kipindi kile
Mrefu kama mlingotiKile huwa anacho toka muda mrefu
Mlingoti wa goliMrefu kama mlingoti
Goli lipi la mkono au la mguuMlingoti wa goli
Mguu wa kushoto ni mfupi kuliko mguu wa kulia?Goli lipi la mkono au la mguu
Kulia kwako amekaa akupendaeMguu wa kushoto ni mfupi kuliko mguu wa kulia?
Nalog off
Akupendae mpende usimpende asiekupendaKulia kwako amekaa akupendae
Asiekupenda ya nini kumliliaAkupendae mpende usimpende asiekupenda
Kumlilia inatokana na mazoeaAsiekupenda ya nini kumlilia
Mazoea yakizidi sana mtu anajisahauKumlilia inatokana na mazoea
Anajisahau kutimiza wajibu wakeMazoea yakizidi sana mtu anajisahau
Wake zako wamekwenda wapiAnajisahau kutimiza wajibu wake
Wapi kivipi wako jikoni wanaandaa futariWake zako wamekwenda wapi
Futari tamuWapi kivipi wako jikoni wanaandaa futari
Tamu ikiandaliwa na mkeFutari tamu