Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Mke anayejua wajibu wake kwa mmeTamu ikiandaliwa na mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke anayejua wajibu wake kwa mmeTamu ikiandaliwa na mke
Mme ndio mume eti?Mke anayejua wajibu wake kwa mme
Eti siku hizi bado watu wanaoana?Mme ndio mume eti?
Wanaoana kwa sababu ndoa tamuEti siku hizi bado watu wanaoana?
Tamu yako ni chungu kwa mwingineWanaoana kwa sababu ndoa tamu
Mwengine apewe niniTamu yako ni chungu kwa mwingine
Nini unahitaji uhudumiwe?Mwengine apewe nini
Uhudumiwe? Nini mteja wangu jisikie huruNini unahitaji uhudumiwe?
Jisikie huru kuzungumza maudhi yote juu ya mwendazakeUhudumiwe? Nini mteja wangu jisikie huru
Mwendazake hili neno nani aliyeliibuaJisikie huru kuzungumza maudhi yote juu ya mwendazake
Nalog off
Mwendazake unapenda kumtaja sijui kakufanya niniJisikie huru kuzungumza maudhi yote juu ya mwendazake
Nalog off
Nini kimemsibu huyu mwananzengoMwendazake unapenda kumtaja sijui kakufanya nini
Mwanazengo amekasirikaNini kimemsibu huyu mwananzengo
Amekasirika kwasababu ipi?Mwanazengo amekasirika
Ipi? Hata sisi tumeshindwa kuelewaAmekasirika kwasababu ipi?
Kuelewa kunahitaji utulivu sanaIpi? Hata sisi tumeshindwa kuelewa
Sana pamoja na umakini wa hali ya juuKuelewa kunahitaji utulivu sana
Juu ya dari langu nasikia kelele au kimbunga JOBO
Jobo kapata umaarufu mkubwa sana kuliko madhara yakeJuu ya dari langu nasikia kelele au kimbunga JOBO
Madhara yake hayakuwa makubwaJobo kapata umaarufu mkubwa sana kuliko madhara yake