Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Makubwa aliyonifanyia ni pamoja na kunipora ardhi!Madhara yake hayakuwa makubwa
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makubwa aliyonifanyia ni pamoja na kunipora ardhi!Madhara yake hayakuwa makubwa
Nalog off nkatafte hata bia za ofaMakubwa aliyonifanyia ni pamoja na kunipora ardhi!
Nalog off
Ofa sio nzuri shekhe! (Kwa sauti ya sheikh Kipoozeo)Nalog off nkatafte hata bia za ofa
Kipoozeo yule sheikh kila wakati anazungumzia MizigoOfa sio nzuri shekhe! (Kwa sauti ya sheikh Kipoozeo)
Mizigo ipi ya kuniKipoozeo yule sheikh kila wakati anazungumzia Mizigo
Kuni zimeloweshwa na mvuaMizigo ipi ya kuni
Mvua inayonyesha inaharibu mazaoKuni zimeloweshwa na mvua
Mazao ya mwaka jana hayakuwa MengiMvua inayonyesha inaharibu mazao
Mengi alitutoka siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopitaMazao ya mwaka jana hayakuwa Mengi
Nalog off
Iliyopita ni hatua ya taabu sanaMengi alitutoka siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita
Sana sana chakula uliwa mida hii ya sa 7 mchanaIliyopita ni hatua ya taabu sana
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa TanzaniaMchana mwema wakuu
Pimbi ni mnyama wa ajabu sanaTanzania ni nchi yakipimbi
Sana sana akiwa kwenye harakati zake zisizo na mafanikioPimbi ni mnyama wa ajabu sana
Mafanikio kwangu ni kunywa [emoji481][emoji481][emoji481]Sana sana akiwa kwenye harakati zake zisizo na mafanikio
Kunywa maji kwaajili ya afya yakoMafanikio kwangu ni kunywa [emoji481][emoji481][emoji481]
Yako mengi ya kuzingatia ili kulinda afyaKunywa maji kwaajili ya afya yako