Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo wangu unanimbia mimi ndio mshindi natupia comment ya mwishoNitampatia wangu moyo
Moyo wangu unampenda sana fudengeNitampatia wangu moyo
Fudenge huyo anajua kama anapendwa?Moyo wangu unampenda sana fudenge
Nalog off
Anapendwa na legend lakini anadenguaFudenge huyo anajua kama anapendwa?
Anadengua kwa kuwa hujafunguka kwakeAnapendwa na legend lakini anadengua
Nalog off
Kwake nimeongea malavidavi Kibao ila hanielewiAnadengua kwa kuwa hujafunguka kwake
Hanielewi kwani umeongea lugha ya kiingerezaKwake nimeongea malavidavi Kibao ila hanielewi
Nalog off
Kiingereza ni lugha pana sana, kila siku kuna misamiati mipya huwa naiskia, lakini East Africa kuna kipindi ilikuwa chini ya utawala wa Waingereza mababu zetu walifeli wapi kuipokea hii lugha?Hanielewi kwa umeongea lugha ya kiingereza
Lugha hiyo ilikuja na meliKiingereza ni lugha pana sana, kila siku kuna misamiati mipya huwa naiskia, lakini East Africa kuna kipindi ilikuwa chini ya utawala wa Waingereza mababu zetu walifeli wapi kuipokea hii lugha?
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zinazotumika katika mawasilianoKiingereza ni lugha pana sana, kila siku kuna misamiati mipya huwa naiskia, lakini East Africa kuna kipindi ilikuwa chini ya utawala wa Waingereza mababu zetu walifeli wapi kuipokea hii lugha?
Mawasiliano kupitia email ni njia bora zaidiLugha ni mfumo wa sauti za nasibu zinazotumika katika mawasiliano
Zaidi na harakaMawasiliano kupitia email ni njia bora zaidi
Haraka haraka haina BarakaZaidi na haraka
Baraka itoke wapi wakati binadamu tumekuwa hatuna hurumaHaraka haraka haina Baraka
Huruma ya mwanadamu haisaidii mkuuBaraka itoke wapi wakati binadamu tumekuwa hatuna huruma
Mkuu wa kitengo fulani sio mzawa wa TanzaniaHuruma ya mwanadamu haisaidii mkuu
Tanzania nchi yangu naipendaMkuu wa kitengo fulani sio mzawa wa Tanzania
Nalog off
Naipenda sana SimbaTanzania nchi yangu naipenda
Simba ataenda kutamba mpaka jangwaniNaipenda sana Simba
Nalog off