T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Mboga tamu sana hiyo tena ukipikwa vizuriKibamia si ni mboga
Vizuri vinagharama bwashee chukua hiyoMboga tamu sana hiyo tena ukipikwa vizuri
Hiyo message iliyokua na ng'oo mwisho ndo ilikua ya mwsho, Ni sentence gani tena inaanzia na ng'oo?Vizuri vinagharama bwashee chukua hiyo
Mbili atazopigwa yanga tarehe 8Usiku wa Leo lazima nipige mbili
Nalog off
Hiyo aichukuliki kirahisiVizuri vinagharama bwashee chukua hiyo
Kirahisi tu, bongo unaweza pata umaarufuHiyo aichukuliki kirahisi
Umaarufu wa Mhe Rais Samia unazidi kuongezekaKirahisi tu, bongo unaweza pata umaarufu
Kuongezeka Kwa Mwili Kwa Mtu Mnene Ni HatariUmaarufu wa Mhe Rais Samia unazidi kuongezeka
Hatari ya kukaribisha maradhiKuongezeka Kwa Mwili Kwa Mtu Mnene Ni Hatari
Maradhi ni moja ya adui mkubwa wa maendeleo ya taifaHatari ya kukaribisha maradhi
taifa la Tanzania au TanganyikaMaradhi ni moja ya adui mkubwa wa maendeleo ya taifa
Tanganyika siifahamu, me naifahamu Tanzaniataifa la Tanzania au Tanganyika
Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Tanganyika na ZanzibarTanganyika siifahamu, me naifahamu Tanzania
Zanzibar kwenye marashi ya pembaTanzania ni muunganiko wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar
Pemba pazuriZanzibar kwenye marashi ya pemba
Pazuri pananukia marashi ya karafuuPemba pazuri
Karafuu ni zao asili yake ughaibuniPazuri pananukia marashi ya karafuu
Pazuri kweli yan ndo maana watalii hawaishi kufikaPemba pazuri
Ughaibuni or uarabuni....?Karafuu ni zao asili yake ughaibuni
Uarabuni wanapenda kutumia mtandao wa tigoUghaibuni or uarabuni....?