Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Tigo ni haramuUarabuni wanapenda kutumia mtandao wa tigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo ni haramuUarabuni wanapenda kutumia mtandao wa tigo
Haram lkn tam!Tigo ni haramu
Tigo ni wapuuzi tu, wanavifurushi vya ovyo sanaUarabuni wanapenda kutumia mtandao wa tigo
Tam inamadharaHaram lkn tam!
Sana bila kuwasahau voda na airtelTigo ni wapuuzi tu, wanavifurushi vya ovyo sana
Inamadhara gani tena hujawahi pewa yote weweTam inamadhara
Wewe acha mambo yako bwana, kuwa mstaarabuInamadhara gani tena hujawahi pewa yote wewe
Wewe ulikuwa wapi wakati sisi tunaandamana?Inamadhara gani tena hujawahi pewa yote wewe
Mstaarabu ni mtu nadhifu na mnyenyekevu.Wewe acha mambo yako bwana, kuwa mstaarabu
Mnyenyekevu kwa kila mwanadamuMstaarabu ni mtu nadhifu na mnyenyekevu.
Mwanadamu ni kiumbe dhaifuMnyenyekevu kwa kila mwanadamu
Mkewe kaona akubali yaisheBillgate kaachana na mkewe
Yaishe tu, maana wametuzuga sana hadi kutuaminisha ndoa imara bila pesa haidumu.Mkewe kaona akubali yaishe
Haidumu kama hakuna upendo wa dhatiYaishe tu, maana wametuzuga sana hadi kutuaminisha ndoa imara bila pesa haidumu.
Dhati ya kweli hujieleza dhahiri.Haidumu kama hakuna upendo wa dhati
Dhahiri sahairi Samia ndo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaDhati ya kweli hujieleza dhahiri.
Tanzania ni nchi nzuriDhahiri sahairi Samia ndo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Nzuri na Maliasili za kutosha, Hayati Magufuli alijitahidi sana kuzilinda kwa bahati mbaya tulishindwa kumuelewaTanzania ni nchi nzuri