T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Pilau la kesho litakuwa tamuVizuri kama tukialikana kesho kula pilau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pilau la kesho litakuwa tamuVizuri kama tukialikana kesho kula pilau
Tamu haswa pale likiwa na nyamaPilau la kesho litakuwa tamu
Nyama chomaTamu haswa pale likiwa na nyama
Choma na kutafuna nyama mpaka meno yachoke kutafunaNyama choma
Kutafuna mahindi Kama Lunch siku ya sikukuu haipendezi Kwa kweli,omba hata mualiko ukalile pilauChoma na kutafuna nyama mpaka meno yachoke kutafuna
Pilau nitakuja kulila kwakoKutafuna mahindi Kama Lunch siku ya sikukuu haipendezi Kwa kweli,omba hata mualiko ukalile pilau
Nalog off
Usipike kwa sababu nitakualika
Nitakualika pamoja na familia yakoUsipike kwa sababu nitakualika
Familia yako inahitaji matunzo mazuriNitakualika pamoja na familia yako
Yako maneno yana hekimaNitakualika pamoja na familia yako
Hekima na maarifa havihitaji shuleYako maneno yana hekima
Shule ili ufanikiwe ni muhimu sana kuwa na jitihada binafsi.Hekima na maarifa havihitaji shule
Binafsi silaumu mtu kwa kukosa mwaliko wa birianiShule ili ufanikiwe ni muhimu sana kuwa na jitihada binafsi.
Biriani linateremka vizuri kwa juice ya parachichi aisee!!Binafsi silaumu mtu kwa kukosa mwaliko wa biriani
Biriani kwenye hii sikukuu limenipita hivihivi, nipeni mwaliko..Binafsi silaumu mtu kwa kukosa mwaliko wa biriani
Mwaliko bila connection hupatiBiriani kwenye hii sikukuu limenipita hivihivi, nipeni mwaliko..
Hupati kitu sikukuu hii, hali iko tight kinoma mwaka huu
Huu utaratibu mkuu mbona upo toka zamaniHupati kitu sikukuu hii, hali iko tight kinoma mwaka huu
Zamani za kaleHuu utaratibu mkuu mbona upo toka zamani