Aeroplane itakuja soon ikiwa imesheheni chanjo ya Covid9Mfano ukiwa ndani ya Aeroplane
Aeroplane Shakur taxi na daladala za angani maana uchelewe kuruka!!Mfano ukiwa ndani ya Aeroplane
Kuruka itaruka lakini sio kama HelicopterAeroplane Shakur taxi na daladala za angani maana uchelewe kuruka!!
Helicopter usafiri wa haraka kuliko gariKuruka itaruka lakini sio kama Helicopter
Gari moshi hii ni kitendawili nani kati yetu anaweza kutengua ??
Umefichwa wapi wewe dogo?Hawakuoni, kwani wewe umejificha wapi au umefichwa?
Dogo limeshemshaUmefichwa wapi wewe dogo?
Limekaangawa bila kutiwa mafuta...
Mafuta ya kupikiaLimekaangawa bila kutiwa mafuta...
Kupikia sufuria au chungu chakula kina ladhaMafuta ya kupikia
Ladha ya chakula inategemea mpishiKupikia sufuria au chungu chakula kina ladha
Mapishi wako haishi kujikuna chawa hiyo ladha itapatikanajee?Ladha ya chakula inategemea mpishi
Itapatikanajee hilo suali ni jepesi sana, ladha huwa zinapishanaMapishi wako haishi kujikuna chawa hiyo ladha itapatikanajee?
Zinapishana inategemea viungoItapatikanajee hilo suali ni jepesi sana, ladha huwa zinapishana
Viungo navyo inategemea, kuna baadhi ya viungo vinaweza kukufanya ghafla ukate hamu ya kulaZinapishana inategemea viuongo
Kula tunakula ila tunashiba?Viungo navyo inategemea, kuna baadhi ya viungo vinaweza kukufanya ghafla ukate hamu ya kula
Tunashiba, kutokushiba inategemea na tumbo la mtu au sijui tuseme MinyooKula tunakula ila tunashiba?
Minyoo ukiwa nayo lazima utibiweTunashiba, kutokushiba inategemea na tumbo la mtu au sijui tuseme Minyoo