Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Macho hayana paziasana kabisa ila na sisi acha tule kwa macho..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macho hayana paziasana kabisa ila na sisi acha tule kwa macho..
pazia zuri huvutiaMacho hayana pazia
Pazia la nini wakati ntaka kuona mimiMacho hayana pazia
Hubutia na kufanya nyumba ipendezepazia zuri huvutia
Mimi naomba unialike kwenye harusiPazia la nini wakati ntaka kuona mimi
ipendeze zaidi ya ikuluHubutia na kufanya nyumba ipendeze
Harusi tunayo, hatuna?Mimi naomba unialike kwenye harusi
Ikulu ni mahali patakatifuipendeze zaidi ya ikulu
Hatuna kea sababu bi Harusi ametoroshwaHarusi tunayo, hatuna?
Ametoroshwa kwenda nainjilinji.Hatuna kea sababu bi Harusi ametoroshwa
Ametoroshwa na nani tena?Hatuna kea sababu bi Harusi ametoroshwa
patakatifu ni mbinguni tu, Duniani ni tabu tupu..Ikulu ni mahali patakatifu
Tabu tupu kwa sababu binadamu hawana wemapatakatifu ni mbinguni tu, Duniani ni tabu tupu..
Tena wewe utakua umemtorosha kwa siriAmetoroshwa na nani tena?
Siri sina isipokuwa za ndani tu 😂Tena wewe utakua umemtorosha kwa siri
Tuu hujui siri za ndoaSiri sina isipokuwa za ndani tu 😂
Pazia nauza kwa bei za jumla ili wewe nae ufaidike..Macho hayana pazia
Tucheke hadi tugaregareSiri sina isipokuwa za ndani tu 😂
Ndoa za miaka au za mahakamani ???Tuu hujui siri za ndoa
Mahakamani kuna hukumu zisizo za hakiNdoa za miaka au za mahakamani ???
Tugaregare kwa vilio mpaka wajutePazia nauza kwa bei za jumla ili wewe nae ufaidike..
Tucheke hadi tugaregare