captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
amani tuanzie hapo unayo rafiki?Mbinguni hatuendi kwa gari bali imani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amani tuanzie hapo unayo rafiki?Mbinguni hatuendi kwa gari bali imani
Rafiki kipenzi mzuriamani tuanzie hapo unayo rafiki?
Mzuri hakuna mfanoRafiki kipenzi mzuri
mfano ni sisi wote kwenye huu uzi wampendwa..Mzuri hakuna mfano
Wampendwa ndo watu gani hao?mfano ni sisi wote kwenye huu uzi wampendwa..
Wampendwa ndo watu gani hao?
hao ni watu wote wasio na makuu kama weweWampendwa ndo watu gani hao?
Wewe tunakufahamu ni mungwanahao ni watu wote wasio na makuu kama wewe
Muungwana hana hiyanaWewe tunakufahamu ni mungwana
hiyana katika maisha ipo kwenye jamii yetu..Muungwana hana hiyana
Yetu macho na masikiohiyana katika maisha ipo kwenye jamii yetu..
masikio hufurahisha nafsi naposikia sauti mwanana.Yetu macho na masikio
Mwanana usingizi nakutakia leomasikio hufurahisha nafsi naposikia sauti mwanana.
Leo umetumwagia radhi hadi tumeduwaa!!Mwanana usingizi nakutakia leo
Tumeduwaa ulivyopita na ile pisi kali ya mselaLeo umetumwagia radhi hadi tumeduwaa!!
Msela ameadhirika na mfedheheko alipodaiwa kodi !!Tumeduwaa ulivyopita na ile pisi kali ya msela
Kodi ya nyumbaMsela ameadhirika na mfedheheko alipodaiwa kodi !!
Nyumba ya mlinzi inavuja maji !!Kodi ya nyumba
Nyumba ya mlinzi inavuja maji !!
Hayazolek wapi? Mi nayazoa tu, sibakishi toneMaji yakishamwagika hayazolek