captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Leo hakika nitakua na usingizi mwanana, nawe pia ulale unono.Mwanana usingizi nakutakia leo
Unono na njozi nzuri, siyo zile njozi unaota unakimbizwa na Simba mbele kuna maporomoko, ukija kustuka unakaa kitako kitandani huku unahema na mapigo ya Moyo yanaenda mbioLeo hakika nitakua na usingizi mwanana, nawe pia ulale unono.
Mbio ndio silaha ya mwishoUnono na njozi nzuri, siyo zile njozi unaota unakimbizwa na Simba mbele kuna maporomoko, ukija kustuka unakaa kitako kitandani huku unahema na mapigo ya Moyo yanaenda mbio
Mwisho wa yote ni KifoMbio ndio silaha ya mwisho
Nalog off
Kifo ndio mwisho wa uhai wetu hapa dunianiMwisho wa yote ni Kifo
Duniani kweli sisi wote tunapitaKifo ndio mwisho wa uhai wetu hapa duniani
Nalog off
Tunapita kuelekea kusipojulikanaDuniani kweli sisi wote tunapita
Kusipojulikana huko ndio mtihani, maana hatujui huko tuendako kukojeTunapita kuelekea kusipojulikana
Nalog off
Kukoje kule maeneo ya Morogoro?Kusipojulikana huko ndio mtihani, maana hatujui huko tuendako kukoje
Morogoro mjini kasoro bahariKukoje kule maeneo ya Morogoro?
Nalog off
Bahari ni sehemu moja hatari sana. Ngoja nilale ili nikueMorogoro mjini kasoro bahari
Hapana, sentensi zinatakiwa zipokezane kimantiki na siyo kuunga sentensi kwa kuokoteza neno lolote mradi lifanane na hilo neno la mwisho kisha mtu anaendeleza hadithi zake, no!Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
No! kabisa mtu kuungaunga maneno yasiyo na maana ilimradi tu apost sentensi hata kama haina maana..Hapana, sentensi zinatakiwa zipokezane kimantiki na siyo kuunga sentensi kwa kuokoteza neno lolote mradi lifanane na hilo neno la mwisho kisha mtu anaendeleza hadithi zake, no!
Maana ya sentensi inafaa iwe kipaumbele kwa yeyote atakayeunga kwa mwenzieNo! kabisa mtu kuungaunga maneno yasiyo na maana ilimradi tu apost sentensi hata kama haina maana..
Mwenzie anaongelea siasa yeye anaanza kuongelea mapenzi,namna gani,?Maana ya sentensi inafaa iwe kipaumbele kwa yeyote atakayeunga kwa mwenzie
gani? mbinu tunayoweza kuifanaya ili watu wasitengeneze maneno yasiyo na maana kwenye sentensi.Mwenzie anaongelea siasa yeye anaanza kuongelea mapenzi,namna gani,?
Sentensi zilete maana waangalie maelekezo.gani? mbinu tunayoweza kuifanaya ili watu wasitengeneze maneno yasiyo na maana kwenye sentensi.
maelekezo ni muhimu yazingatiwe kwa kweli mkuu.Sentensi zilete maana waangalie maelekezo.
Mkuu wa jukwaa angekuwepo angetoa muongozo stahikimaelekezo ni muhimu yazingatiwe kwa kweli mkuu.
stahiki muongozo ni muhimu, acha tuwasikilize na wadau wengine watoe maoni yao kwenye hili jambo.Mkuu wa jukwaa angekuwepo angetoa muongozo stahiki