Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Hili Jambo ni jema tunahitaji mikakati yakinifu..stahiki muongozo ni muhimu, acha tuwasikilize na wadau wengine watoe maoni yao kwenye hili jambo.
Yakinifu kama wewe ulivo makini!Hili Jambo ni jema tunahitaji mikakati yakinifu..
Ulivyo Makini utaweza nitambuwa nilikuokoa Siku fulani, shehemu fulani !!!!Yakinifu kama wewe ulivo makini!
Fulani huwa tunaisema pale ambapo hatutaki kutaja jinaUlivyo Makini tutaweza nitambuwa nilikuokoa Sikh fulani shehemu fulani !!!!
fulani sehemu gani huko mpendwa?Ulivyo Makini utaweza nitambuwa nilikuokoa Siku fulani, shehemu fulani !!!!
Mpendwa shuleni ndiyo uwanja wa elimufulani sehemu gani huko mpendwa?
Elimu ni muhimu sana katika maisha.Mpendwa shuleni ndiyo uwanja wa elimu
kucheka bila kuchekeshwaKileleni kuna maajabu
Kuchekeshwa bila kutekenywa sidhani....kucheka bila kuchekeshwa
kucheka kama mwehu.Kuchekeshwa bila kutekenywa sidhani....
Mwehu ni neno la kiarabu ikimaanisha Mewhu eti huyu amepata nini?kucheka kama mwehu.
kicheko kisicho na sababu, m'demkoMwehu ni neno la kiarabu ikimaanisha Mewhu eti huyu amepata nini?
m'demko ndo nini?kicheko kisicho na sababu, m'demko
Nini tena kwani kuna lugha mpyam'demko ndo nini?
Lugha mpya hatuitaki tuendelee kuipenda lugha yetu ya Kiswahili.Nini tena kwani kuna lugha mpya
Kiswahili lugha adhimu lakini kimombo pia muhimu.Lugha mpya hatuitaki tuendelee kuipenda lugha yetu ya Kiswahili.
Nalog off
Kimombo ni muhimu ila Kiswahili tukipende na kukiendelezaKiswahili lugha adhimu lakini kimombo pia muhimu.
Kukiendeleza kwa Pamoja bila kusuasua au kukiponda !!Kimombo ni muhimu ila Kiswahili tukipende na kukiendeleza
Nalog off
Kujifunza siyo aibu !!Kukiponda haifai, muhimu kukienzi na lugha zingine kujifunza.