Mshindi wa huu uzi nitampa zawadiKweli nimevamia mazungumzo ya wawili nyie, ila naomba tuvumiliane tu ili wa mwisho ndio awe mshindi
Zawadi hiyo naomba niwe wa kwanza kuipokea kama hutojariMshindi wa huu uzi nitampa zawadi
Kama hutojali jitahifi uwe mshindiZawadi hiyo naomba niwe wa kwanza kuipokea kama hutojari
Mshindi naweza nikawa na nisipewe zawadiKama hutojali jitahifi uwe mshindi
Zawadi ni mzuri tatizo anaringaMshindi naweza nikawa na nisipewe zawadi
Anaringa sababu ana churaZawadi ni mzuri tatizo anaringa
Chura ndio inapewa kipaumbele siku hiziAnaringa sababu ana chura
Zawadi ya ushindi ni kitabu kilichovuma sanaMshindi naweza nikawa na nisipewe zawadi
Hizi chura zimevunja familia nyingi sanaChura ndio inapewa kipaumbele siku hizi
Zawadi haipatikani kirahisi rahisi inatakiwa utoke jashoMshindi naweza nikawa na nisipewe zawadi
Jasho la mtu halipoteiZawadi haipatikani kirahisi rahisi inatakiwa utoke jasho
Halipotei km ni la halali!Jasho la mtu halipotei
Halali yako ipiganieHalipotei km ni la halali!
Ipiganie kwa udi na uvumbaHalali yako ipiganie
Kwa udi na uvumba mwaka 2025 nitagombania uraisIpiganie kwa udi na uvumba
Urais ni witoKwa udi na uvumba mwaka 2025 nitagombania urais
Nalog off
Wito Kwa wenzangu na mie kugombea urais mwaka 2025Urais ni wito
2025 nitakua na umri sahihi wa kupiga kuraWito Kwa wenzangu na mie kugombea urais mwaka 2025
Nalog off
Kura ni haki yako ewe mwananchi2025 nitakua na umri sahihi wa kupiga kura
Mwananchi Gazeti hili sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa lini kupitia kurasa zakeKura ni haki yako ewe mwananchi