El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 483
- 2,126
Gharama zake zimenifanya niahirishe kuinunuaBure ni gharama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama zake zimenifanya niahirishe kuinunuaBure ni gharama
Kuinunua ni jambo zuri ila usikurupukeGharama zake zimenifanya niahirishe kuinunua
Usikurupuke kufanya maamuzi wakati una hasiraKuinunua ni jambo zuri ila usikurupuke
Hasira ni hasara kama wasemavyo waungwana.Usikurupuke kufanya maamuzi wakati una hasira
Waungwana au Wahenga kwa jina lingine maneno yao mengi yamejaa busaraHasira ni hasara kama wasemavyo waungwana.
Busara ni tunu kubwa sanaWaungwana au Wahenga kwa jina lingine maneno yao mengi yamejaa busara
Sana kwa kuwa wote ni BinadamuBusara ni tunu kubwa sana
Binadamu ni kiumbe hatariSana kwa kuwa wote ni Binadamu
Hatari sana kukaa jirani na transformer ya umeme..Binadamu ni kiumbe hatari
Nalog off
Umeme mzuri ni uzalishwao na maji,gesi,upepo au na jua?Hatari sana kukaa jirani na transformer ya umeme..
Jua leo halikuwa kali sababu ya mawinguUmeme mzuri ni uzalishwao na maji,gesi,upepo au na jua?
mawingu hufanya hali ya hewa kuwa nzuri..Jua leo halikuwa kali sababu ya mawingu
Nzuri hasa pale unakua umemaliza mihangaiko ya sikumawingu hufanya hali ya hewa kuwa nzuri..
Siku ya leo Kama siielewielewi vile!Nzuri hasa pale unakua umemaliza mihangaiko ya siku
Vile kulivo na jua kari na joto piaSiku ya leo Kama siielewielewi vile!
Nalog off
Pia jua kali ni kero Kwa wakazi wa Dar es SalaamVile kulivo na jua kari na joto pia
Dar-es-salaam ndiyo mji Mkuu wa kibiashara TanzaniaPia jua kali ni kero Kwa wakazi wa Dar es Salaam
Nalog off
Tanzania ya viwandaDar-es-salaam ndiyo mji Mkuu wa kibiashara Tanzania
viwanda vidogo vidogo vina mchango mkubwa kwenye uchumi wa nchi.Tanzania ya viwanda
Nchi yetu ni nzuri sana kwani tunakula na kulala kwa amaniviwanda vidogo vidogo vina mchango mkubwa kwenye uchumi wa nchi.