Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kupendwa nako kuna raha yakeMazuri kwa sababu ya kupendwa
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupendwa nako kuna raha yakeMazuri kwa sababu ya kupendwa
Raha yake na wewe uwe umependa kweliKupendwa nako kuna raha yake
Nalog off
Kweli mapenzi upofuRaha yake na wewe uwe umependa kweli
Mapenzi upofu kweli, maana ukipenda ni ngumu sana kusikia la mtu hata ushauriwe na Mzazi wakoKweli mapenzi upofu
Nalog off
Off you go brotherKweli mapenzi upofu
Nalog off
Wako atakuwaa wanguu siku mojaaMapenzi upofu kweli, maana ukipenda ni ngumu sana kusikia la mtu hata ushauriwe na Mzazi wako
Siku moja hiyo mimi na wewe tutakuja kukimbizana na Mapanga, usilete mchezo kwenye mambo ya MahabaWako atakuwaa wanguu siku mojaa
Mahaba niueSiku moja hiyo mimi na wewe tutakuja kukimbizana na Mapanga, usilete mchezo kwenye mambo ya Mahaba
Niue huyu mende au nimuache aendelee kuishiMahaba niue
Nalog off
Kuishi itakuwa umemfanyia msaada mkubwa kuliko kumuuaNiue huyu mende au nimuache aendelee kuishi
Kumuua bila kuwapa bata au kuku basi ni bora umwache aendelee kuishiKuishi itakuwa umemfanyia msaada mkubwa kuliko kumuua
Kuishi kwingi ni kuona mengiKumuua bila kuwapa bata au kuku basi ni bora umwache aendelee kuishi
Nalog off
Kifo ni jambo la lazimaKumuua ni kosa kubwa,utapata hukumu ya kifo
Mengi utayaona ikiwa utaishi miaka mingiKuishi kwingi ni kuona mengi
Miaka mingi imepita tangu Baba wa Taifa alipotutokaMengi utayaona ikiwa utaishi miaka mingi
Nalog off
Alipotutoka aliiacha nchi kwenye majonzi mazitoMiaka mingi imepita tangu Baba wa Taifa alipotutoka
Mazito sana, mpaka kufikia hivi sasa tangu alipotutoka Baba wa Taifa akafuatia Benjamin Mkapa, na yeye akafuatiwa na John Pombe Magufuli ambaye bado alikuwa MadarakaniAlipotutoka aliiacha nchi kwenye majonzi mazito
Nalog off
Madarakani alikaa Kwa miaka sita Kabla ugonjwa wa moyo kumwondoa duniani mwaka huuMazito sana, mpaka kufikia hivi sasa tangu alipotutoka Baba wa Taifa akafuatia Benjamin Mkapa, na yeye akafuatiwa na John Pombe Magufuli ambaye bado alikuwa Madarakani
Mwaka huu tumepata pigo kubwa kuondokewa na Rais ambaye bado yupo Madarakani, imeshakuwa HistoriaMadarakani alikaa Kwa miaka sita Kabla ugonjwa wa moyo kumwondoa duniani mwaka huu
Nalog off