Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Historia hii tumwombe Mungu isijirudie tena kwenye Taifa letuMwaka huu tumepata pigo kubwa kuondokewa na Rais ambaye bado yupo Madarakani, imeshakuwa Historia
Taifa letu limepata historia ya kuongozwa na mamaHistoria hii tumwombe Mungu isijirudie tena kwenye Taifa letu
Nalog off
Ushirikiano ni muhimu sana baina ya serikali na wanainch wakeMama ni kiongozi makini,tumpe ushirikiano
Wananchi wake wapewe kipaumbele kwenye mipango ya maendeleoUshirikiano ni muhimu sana baina ya serikali na wanainch wake
Maendeleo hayana chamaWananchi wake wapewe kipaumbele kwenye mipango ya maendeleo
chama ndio kinamuweka rais madarakaniMaendeleo hayana chama
Madarakani rais afate katibachama ndio kinamuweka rais madarakani
Katibaa ipiii waizungumziaaa!?Madarakani rais afate katiba
Waizungumzia katiba ya mwingerezaKatibaa ipiii waizungumziaaa!?
Mwingereza ametuachia katiba ya ovyoWaizungumzia katiba ya mwingereza
Ovyo kabisa bora tuandike katiba mpyaMwingereza ametuachia katiba ya ovyo
Nalog off
Katiba mpya ndio mpango mzimaOvyo kabisa bora tuandike katiba mpya
Mzima kabisa na anakusalimu kwa jina la jamuhuri ya muunganoKatiba mpya ndio mpango mzima
Nalog off
Muungano wetu na uendelee daima.Mzima kabisa na anatusalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano
Daima mbele nyuma mwiko wasemavyo wakimataifa yangaMuungano wetu na uendelee daima.
Yanga ndiyo wananchiDaima mbele nyuma mwiko wasemavyo wakimataifa yanga
Wananchi kindakindaki, tumeipenda wenyewe acha ituue..Yanga ndiyo wananchi
Ituue mpaka mwisho wa msimuWananchi kindakindaki, tumeipenda wenyewe acha ituue..
Msimu ujao ni mzuriItuue mpaka mwisho wa msimu