Dereva hachagui GariMwendo wa kutoka Dar mpaka Moro hutegemea aina ya gari na uzoefu wa dereva
Nalog off
Gari lolote inatakiwa uliendeshe ikiwa wewe ni dereva mzuri.Dereva hachagui Gari
Dereva mzuri ni pamoja na uzoefu wala hujakosea KiongoziGari lolote inatakiwa uliendeshe ikiwa wewe ni dereva mzuri.
Nalog off
Kiongozi mzuri ni SSH ila yule mwingine alikuwa diktetaDereva mzuri ni pamoja na uzoefu wala hujakosea Kiongozi
Dikteta aliyetisha duniani alikuwa HitlerKiongozi mzuri ni SSH ila yule mwingine alikuwa dikteta
Neno hilo tumuulize kamanda murotoKoko ina maana gani, mana tangu nazaliwa mpaka nazeeka nalisikia hili neno.
KAMANDA Muroto amekwisha staafuNeno hilo tumuulize kamanda muroto
Amestaafu akapige mbwa koko mtaaniKAMANDA Muroto amekwisha staafu
Mtaanii n kugumuu sanaaAmestaafu akapige mbwa koko mtaani
Sana kama huna kipatoMtaanii n kugumuu sanaa
Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo yaliyo ndani ya binadamu aidha kwa njia ya uchoraji,kuchonga,ufinyanzi,maigizo au nyimboMtaanii n kugumuu sanaa
Nyimbo za Burna Boy nazipendaSanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo yaliyo ndani ya binadamu aidha kwa njia ya uchoraji,kuchonga,ufinyanzi,maigizo au nyimbo
Nyimbo za Burna Boy nazipenda
Usiku wachawi wengiNazipenda sana safari za Usiku
Usiku inapendeza sana kusafiri kuelekea sehemu uzijuazoNazipenda sana safari za Usiku
Uzijuazo wewe wengine hawazijuiUsiku inapendeza sana kusafiri kuelekea sehemu uzijuazo
Nalog off
Hawazijui haki zao kuna baadhi ya BinaadamUzijuazo wewe wengine hawazijui