Kitamu hapo hakuna sijakiona zaidi ya kashataMaandazi,kalmati,visheti na vitumbua kipi ni kitamu
Kashata ni tamu sana kula na kahawaKitamu hapo hakuna sijakiona zaidi ya kashata
Kahawa ni kinywaji muruaKashata ni tamu sana kula na kahawa
Murua kabisa hii burudaniKahawa ni kinywaji murua
Burudani haipatikani bila kuwa na RupiaMurua kabisa hii burudani
Rupia na huu uchumi wa kati ni shidaBurudani haipatikani bila kuwa na Rupia
Shida ni pale matumizi yanapozidi kipatoRupia na huu uchumi wa kati ni shida
Kipato chenyewe ni chaku bahatishaShida ni pale matumizi yanapozidi kipato
Kubahatisha kwenye kutafuta rizki ni jambo gumu sanaKipato chenyewe ni chaku bahatisha
Sana kwa hakuna kitu cha bureKubahatisha kwenye kutafuta rizki ni jambo gumu sana
Bure mnamuonea huyo kijanaSana kwa hakuna kitu cha bure
Bure mnamuonea huyo kijana
Atatoboa akiwa kaburiniDah! yaani sabaya amekuwa mdogo ka pirton sijui kama atatoboa
UlipoteaNimewamiss jamani
Ulipotea na kupatikanaUlipotea
Kupatikana kwake ilichukua muda mrefu kweliUlipotea na kupatikana
Kweli kwa sababu hakuagaKupatikana kwake ilichukua muda mrefu kweli
Hakuaga hata mke na watoto wake