Kuzimu?, Hapana nadhani mbinguni .Karudi toka kuzimu?
Nalog
Mbinguni wanakwenda watu wema ila wauaji Kama fudenge atakwenda kuzimuKuzimu?, Hapana nadhani mbinguni .
Kuzimu wanaishi maruhaniMbinguni wanakwenda watu wema ila wauaji Kama fudenge atakwenda kuzimu
Nalog off
Hivi maruhani ni viumbe wa aina gani? Majini, mashetani au vibwengo?Kuzimu wanaishi maruhani
TID hana mpya siku hizi
Wao wema umewaponzaKama polepole vile alivyowaingiza wabunge viti maalumu kwa mlango wa guest house leo nae mmoja wao.
Wao wema umewaponza
Soma huu uzi uuelewe ndugu, kindly follow the rule of the gameIla nyie wanawake ni level zingine aiseee sijui mmetengezezwa kwa materials gani kabisa yaani unatoa zaga unapewa viti maalumu hii maalumu kwa tafsiri unaielewaje? Bora hata ingekuwa muhimu ila acha nisiongee sana maana ukiwa bungeni tayari wewe ni mwanasiasa yaani tayari uhakika na maisha pesa mingi na ngono nje nje ambavyo ndiyo hangaiko la mwanadamu hapa duniani.
Soma huu uzi uuelewe ndugu, kindly follow the rule of the game
Game hili ni tamu kama mtu unalifahamuSoma huu uzi uuelewe ndugu, kindly follow the rule of the game
Unalifahamu ila wengine vichwa vigumu hawaelewiGame hili ni tamu kama mtu unalifahamu
Hawaelewi ndio maana wanatuvurugia utaratibu.Unalifahamu ila wengine vichwa vigumu hawaelewi
Hawaelewi ndio maana wanatuvurugia utaratibu.
Uzingatiwe milele kama "Aga baba" anavyomzingatia Nedim kwenye Ze CityUtaratibu lazima uzingatiwe
City centre ndio wapiUzingatiwe milele kama "Aga baba" anavyomzingatia Nedim kwenye Ze City
Wapi nitapata mishkaki safiCity centre ndio wapi
Safi, unajitahidi.Wapi nitapata mishkaki safi
Unajitahidi maana ushindani umekuwa mkubwaSafi, unajitahidi.
Mkubwa fellaUnajitahidi maana ushindani umekuwa mkubwa