Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Polepole wale wabunge wa viti maalumu bungeni uliowapitisha kwa mlango wa guest house leo atawaambia nini? umebakiwa kuwa mmoja wao.
 
Ila nyie wanawake ni level zingine aiseee sijui mmetengezezwa kwa materials gani kabisa yaani unatoa zaga unapewa viti maalumu hii maalumu kwa tafsiri unaielewaje? Bora hata ingekuwa muhimu ila acha nisiongee sana maana ukiwa bungeni tayari wewe ni mwanasiasa yaani tayari uhakika na maisha pesa mingi na ngono nje nje ambavyo ndiyo hangaiko la mwanadamu hapa duniani.
Wao wema umewaponza
 
Soma huu uzi uuelewe ndugu, kindly follow the rule of the game
 
Back
Top Bottom