HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Ofisini kuna raha yake na machungu yakeMpya hata wiki hajamaliza ofisini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisini kuna raha yake na machungu yakeMpya hata wiki hajamaliza ofisini
Machungu yake ni pale unaposingiziwa jambo na wafanyakazi wenzio wasiokutakia mema!Ofisini kuna raha yake na machungu yake
Mema ya mtu siku zote hayaonekani, mabaya tu ndio yanayoonekana. Fanya mema Elfu moja hayatoonekana, lakini ukifanya baya moja litaonekana na kuficha mema yote uliyoyafanyaMachungu yake ni pale unaposingiziwa jambo na wafanyakazi wenzio wasiokutakia mema!
Nalog off
Uliyoyafanya kwa watu ni rahisi sana kusahaulika hasa hasa yakiwa memaMema ya mtu siku zote hayaonekani, mabaya tu ndio yanayoonekana. Fanya mema Elfu moja hayatoonekana, lakini ukifanya baya moja litaonekana na kuficha mema yote uliyoyafanya
Uliyoyafanya kwa jirani zake ni hovyoMema ya mtu siku zote hayaonekani, mabaya tu ndio yanayoonekana. Fanya mema Elfu moja hayatoonekana, lakini ukifanya baya moja litaonekana na kuficha mema yote uliyoyafanya
Hovyo ni pale unapoenda sehemu za starehe na kufanya matumizi zaidi ya mfuko wako, siku ya pili unaamka asubuhi huna hata pesa ya kulaUliyoyafanya kwa jirani zake ni hovyo
Kula ndiyo nishati ya mwiliHovyo ni pale unapoenda sehemu za starehe na kufanya matumizi zaidi ya mfuko wako, siku ya pili unaamka asubuhi huna hata pesa ya kula
Mwili wa binadamu ni machine kubwa mnoKula ndiyo nishati ya mwili
Mwili wa binadamu ni machine kubwa mno
Nalog off
Tatu ni namba inayofuatia baada ya mbiliMno mnono nyumba kajazia kumbe ni beki tatu
Mbili ni namba ya bahatiTatu ni namba inayofuatia baada ya mbili
Bahati yaweza kuwa nzuri au mbaya.Mbili ni namba ya bahati
Mbaya ni mpango wa shetaniBahati yaweza kuwa nzuri au mbaya.
Shetani ana wafuasi wengi sana dunianiMbaya ni mpango wa shetani
Duniani tunapita sio makazi ya mileleShetani ana wafuasi wengi sana duniani
Milele nitamtukuza MunguDuniani tunapita sio makazi ya milele
Mungu ndiye muweza wa yote.Milele nitamtukuza Mungu
Yote hiyo ni kwa mapenzi yake MuumbaMungu ndiye muweza wa yote.
Muumba ana makusudi na maisha yetuYote hiyo ni kwa mapenzi yake Muumba
Yetu wanaume na yenu wanawake ni tofautiMuumba ana makusudi na maisha yetu