Wa mwisho ndiyo mshindi

Mema ya mtu siku zote hayaonekani, mabaya tu ndio yanayoonekana. Fanya mema Elfu moja hayatoonekana, lakini ukifanya baya moja litaonekana na kuficha mema yote uliyoyafanya
Uliyoyafanya kwa watu ni rahisi sana kusahaulika hasa hasa yakiwa mema
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…