Mwenzie alieonywa ni mtu wa kulalamika na kutokuridhika na kipato chake ndio maana akapewa onyo, kama ni msikivu na mwelewa afanyie kazi onyo hiloKipato unasema ni kidogo hebu acha kuendesha uone yule mwanamke uliemuweka ndani kama utakuwa nae alisikika boda boda mmoja akimuonya mwenzie
Mwenzie alieonywa ni mtu wa kulalamika na kutokuridhika na kipato chake ndio maana akapewa onyo, kama ni msikivu na mwelewa afanyie kazi onyo hilo
Pembeni na vitu vyote pesa ndio injini kwenye mahusianoHilo lilitokea pale wengine walipoanza kumbishia na kusema kuwa mwanamke hata usipo kuwa na pesa anakupenda maana hwana pa kuishi alisikia kijana aneuza maji pembeni
Mahusiano ya karne hii Pesa ina nafasi kubwa sanaPembeni na vitu vyote pesa ndio injini kwenye mahusiano
Sana, ukitaka kuamini kosa pesa uone kama utapendwa.Mahusiano ya karne hii Pesa ina nafasi kubwa sana
Utapendwa na Mzazi/Wazazi wako, maana wao ndio wenye upendo wa kweliSana, ukitaka kuamini kosa pesa uone kama utapendwa.
Kweli kabisa upendo wa wazazi ndio upendo wa kweli kabisa...Utapendwa na Mzazi/Wazazi wako, maana wao ndio wenye upendo wa kweli
Utapendwa na Mzazi/Wazazi wako, maana wao ndio wenye upendo wa kweli
Magazeti ya siku hizi ni ushubwada mtupu.Kweli alisema mzee aliyeonekana anavutiwa na vichwa vya habari vya magazeti
Magazeti mengi siku hizi yanaendekeza habari za udakuKweli alisema mzee aliyeonekana anavutiwa na vichwa vya habari vya magazeti
Magazeti ya siku hizi ni ushubwada mtupu.
kha!! haya maisha haya hivi ni mimi tu siyaelewi au hata na nyie wadau?Mtupu yaan umekuja hapa ukiwa hivyo jaman hii laana hii sasa watu wote walibaki kwenye mshangao kha!
Wadau tunasonga mbelekha!! haya maisha haya hivi ni mimi tu siyaelewi au hata na nyie wadau?
Wadau tunasonga mbele
yupi mkweli na yupi muongo ni ngumu sana kutambuaButwa lili mkuta mzee mmoja kituoni baada ya kugundua kuwa suluari aliovaa sio ile yenye pesa na hajajua jana yake alilala kwa mke yupi
Kondakta msafi anapatikana nchi gani?Mbele kwa mbele utawakusanya maana umetega mingo vizuri alisikia kondakta
yupi mkweli na yupi muongo ni ngumu sana kutambua
Kolido la nyumba yetu ni pana sana..Kutambua mimi ninaweza alisema mwalimu wa nidhamu na kuuliza kati ya kulwa na doto nani aliye onekana kwenye kolido
Kolido la nyumba yetu ni pana sana..