Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kipato unasema ni kidogo hebu acha kuendesha uone yule mwanamke uliemuweka ndani kama utakuwa nae alisikika boda boda mmoja akimuonya mwenzie
Mwenzie alieonywa ni mtu wa kulalamika na kutokuridhika na kipato chake ndio maana akapewa onyo, kama ni msikivu na mwelewa afanyie kazi onyo hilo
 
Mwenzie alieonywa ni mtu wa kulalamika na kutokuridhika na kipato chake ndio maana akapewa onyo, kama ni msikivu na mwelewa afanyie kazi onyo hilo

Hilo lilitokea pale wengine walipoanza kumbishia na kusema kuwa mwanamke hata usipo kuwa na pesa anakupenda maana hwana pa kuishi alisikia kijana aneuza maji pembeni
 
Back
Top Bottom