mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Kabisa unatisha sababu ya ajaliPikipiki ni usafiri nisioukubali kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa unatisha sababu ya ajaliPikipiki ni usafiri nisioukubali kabisa
Ajali haina mwenyewe wanasemaKabisa unatisha sababu ya ajali
Wanasema ukileta papara unaachwa na muda na kinachofelisha biashara huwaga ni lugha......Ajali haina mwenyewe wanasema
Lugha inafelishaje biashara, jaribu kuelezeaWanasema ukileta papara unaachwa na muda na kinachofelisha biashara huwaga ni lugha......
Kuelezea hilo somo inaeleweka kuwa biashara inataka muuzaji uwe na lugha nzuri
Lugha nzuri yenye lafudhi na Lahaja nyingi ni kiarabu !!Kuelezea hilo somo inaeleweka kuwa biashara inataka muuzaji uwe na lugha nzuri
Kiarabu chá Misri ndio slang ya waarab woteLugha nzuri yenye lafudhi na Lahaja nyingi ni kiarabu !!
Wote walietenda udhalimu awamu ikiyopita lazima wachukuliwe hatuaKiarabu chá Misri ndio slang ya waarab wote
Nalog off
Hatua kali ichukuliwe dhidi yaoWote walietenda udhalimu awamu ikiyopita lazima wachukuliwe hatua
Yao maovu yakomeshwe kwa viongozi woteHatua kali ichukuliwe dhidi yao
Nalog off
Wote motoniYao maovu yakomeshwe kwa viongozi wote
Motoni bila chenga, ila nimefurahi mdude yupo huruWote motoni
Huru wapi wewe wakati ametoroshwaMotoni bila chenga, ila nimefurahi mdude yupo huru
Ametoroshwa na nani hebu nipe habariHuru wapi wewe wakati ametoroshwa
Habari utaipata baadae TBCAmetoroshwa na nani hebu nipe habari
TBC ipi???? Hii hii inayojinadi kwamba ni ukweli na uhakikaHabari utaipata baadae TBC
Uhakika wa kula mchana unaoTBC ipi???? Hii hii inayojinadi kwamba ni ukweli na uhakika
Unao wapi wewe wakati hata hela hunaUhakika wa kula mchana unao
Huna kitu cha kutushawishiUnao wapi wewe wakati hata hela huna
Kutushawishi kuwapenda tena chademaHuna kitu cha kutushawishi