T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Kutushawishi wewe huwezi maana ni muongo sanaHuna kitu cha kutushawishi
Muongo sana mshikaji aliyeenda zakeKutushawishi wewe huwezi maana ni muongo sana
Zake fix tu kila sikuMuongo sana mshikaji aliyeenda zake
Nalog off
Atanyongwa yoyote ataebaka watoto wadogo...
Wadogo watoto wanapaswa kulindwaAtanyongwa yoyote ataebaka watoto wadogo...
Kulindwa hata kwa mkuki ni ulinziWadogo watoto wanapaswa kulindwa
Ulinzi na ausalama wa nchi ni muhimuKulindwa hata kwa mkuki ni ulinzi
Muhimu kila mmoja wetu ajihadhari na coronaUlinzi na ausalama wa nchi ni muhimu
Corona ni janga la duniaMuhimu kila mmoja wetu ajihadhari na corona
Dunia haina hurumaCorona ni janga la dunia
Huruma ya Mungu ni ya mileleDunia haina huruma
Milele na milele aminaHuruma ya Mungu ni ya milele
Amina ni mke wa kibaMilele na milele amina
Amina ni binti mcharukoMilele na milele amina
Mcharuko ndio maana hajaolewaAmina ni binti mcharuko
Hajaolewa na hajabahatika kupata mtoto....Mcharuko ndio maana hajaolewa
Mtoto ni baraka katika familiaHajaolewa na hajabahatika kupata mtoto....
Familia ni msingi na nguzo bora kwa jamiiMtoto ni baraka katika familia
Jamii ya wamasai wanapenda mifugoFamilia ni msingi na nguzo bora kwa jamii