Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Mifugo inasaidia sana familia maskiniJamii ya wamasai wanapenda mifugo
Maskini wa akili ni janga kwa taifaMifugo inasaidia sana familia maskini
Taifa letu la Tanzania limebarikiwa sanaMaskini wa akili ni janga kwa taifa
Sana hiyo kwioooTaifa letu la Tanzania limebarikiwa sana
Kwio mlio wa kuku Lakin lilikataliwa kutumika na Mama samiaSana hiyo kwiooo
Samia ni jina zuri sanaKwio mlio wa kuku Lakin lilikataliwa kutumika na Mama samia
Sana sana Ujue maendeleo wanahitaji juhudiSamia ni jina zuri sana
Juhudi kubwa sana zinahitajika kutokomeza zero shulenSana sana Ujue maendeleo wanahitaji juhudi
Shuleni ni sehemu ya mtu kujifunza na kupata maarifa mapyaJuhudi kubwa sana zinahitajika kutokomeza zero shulen
Mapya maarifa huongeza ufanisiShuleni ni sehemu ya mtu kujifunza na kupata maarifa mapya
Ufanisi katika kazi ni muhimuMapya maarifa huongeza ufanisi
Muhimu kutambua majukumu yako na mipaka yakoUfanisi katika kazi ni muhimu
Yako nyumba au ya kupangaMuhimu kutambua majukumu yako na mipaka yako
Kupanga ni kuchaguaYako nyumba au ya kupanga
Kuchagua kwa kupiga kuraKupanga ni kuchagua
Kura hazikumtosha diamond kushinda TuzoKuchagua kwa kupiga kura
Iendelee mbele zaidi bila kukata tamaaTuzo sio mwisho wa maisha acha kazi iendelee
Dhambi ni Dhambi ingawa watu wana ile dhana ya kusema Dhambi kubwa na Dhambi ndogoTamaa huzaa dhambi