captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Nawe pia iwe rohoni mwako, pia nimefurahi baada ya kujua wewe ni mkatoriki mwenzanguAman ya Mwenyez Mungu iwe pamoja nawe
Mwenzangu me NPO upande mwingine ila ni mkristoNawe pia iwe rohoni mwako, pia nimefurahi baada ya kujua wewe ni mkatoriki mwenzangu
Mkiristo mwema ni mfuata injili zaburi na taura vitabu vya mbinguni...Mwenzangu me NPO upande mwingine ila ni mkristo
Mkristo kutoka madhebu mengine, ila yote kwa yote wote ni wamojaMwenzangu me NPO upande mwingine ila ni mkristo
Ni wamoja kwa kuwa Mungu ni mmojaMkristo kutoka madhebu mengine, ila yote kwa yote wote ni wamoja
Mmoja ndo maana wote tunamtumainia yeyeNi wamoja kwa kuwa Mungu ni mmoja
Yeye ni mkuu na hakuna alie juu yakeMmoja ndo maana wote tunamtumainia yeye
Yake Mapenzi yalimfanya amtoe mwanae wa pekee kwa ajili ya dhambi zetuYeye ni mkuu na hakuna alie juu yake
Zetu imani tunapaswa kuziheshimuYake Mapenzi yalimfanya amtoe mwanae wa pekee kwa ajili ya dhambi zetu
Maana wewe unapenda sana kupiga deki wakati unajua kabisa madhara yakeKuziheshimu na kuzifuata Amri za Mungu ni Jambo la maana
Madhara yake ni makubwaMaana wewe unapenda sana kupiga deki wakati unajua kabisa madhara yake
Makubwa haya mambo ya coronaMadhara yake ni makubwa
Corona inaangamiza duniaMakubwa haya mambo ya corona
Dunia hadaa ulimwengu shujaaCorona inaangamiza dunia
Shujaa amesahaulika mapemaDunia hadaa ulimwengu shujaa
Mwingine anaetupa matimaini
Matumaini ambayo tuliyakosa awamu ya mwendazake, hahaahaaMwingine anaetupa matimaini
Ahahaha! unafurah mzalendo kuondoka