Mchongo unaweza ukawa mchongomaMashindano mengi washindi huwa ni mchongo
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchongo unaweza ukawa mchongomaMashindano mengi washindi huwa ni mchongo
Nalog off
Mchongoma naupenda sana ule mtiMchongo unaweza ukawa mchongoma
Mti wenye matunda milele hauogopi kupigwa maweMchongoma naupenda sana ule mti
Nalog off
Mawe ni silaha niitumiayo kwenye ugomviMti wenye matunda milele hauogopi kupigwa mawe
Ugomvi sio Jambo zuri sanaMawe ni silaha niitumiayo kwenye ugomvi
Nalog off
Sana sana napigana Kwa kujitetea ila sipigani kwasababu nimekasirika au nimeonewaUgomvi sio Jambo zuri sana
N.k kama kukitoa kitu kutoka sehemu moja kwenda nyingine Lakin hyo nalog off ni signature yake mkuu unaweza kujimix ukaiendeleza Kila mudaoff ni neno la kiingereza,lenye maana nyingi ikiwemo nje,pembeni n.k
Muda umefika nimeelewa kuwa ile ni signature yake..sitakosea tena bila shaka...aaagh!N.k kama kukitoa kitu kutoka sehemu moja kwenda nyingine Lakin hyo nalog off ni signature yake mkuu unaweza kujimix ukaiendeleza Kila muda
Aaagh! Mkuu unamalza na vitu vyenye kuichangamsha akilimuda umefika nimeelewa kuwa ile ni signature yake..sitakosea tena bila shaka...aaagh!
Akili nyingi nguvu kidogoAaagh! Mkuu unamalza na vitu vyenye kuichangamsha akili
Kinanitosha kipato changu ndo maana sihangahiki na biashara haramu Kwan huchelew kufichwa na serikalKidogo ninachopata kinanitosha.
Serikali ina kila sababu kudhibiti uharamiaKinanitosha kipato changu ndo maana sihangahiki na biashara haramu Kwan huchelew kufichwa na serikal
Uharamia unaangamiza taifaSerikali ina kila sababu kudhibiti uharamia
Taifa kubwa Simba Sports Club, au nakosea Washawasha?Uharamia unaangamiza taifa
Washawasha anawasha mitamboTaifa kubwa Simba Sports Club, au nakosea Washawasha?
Mgosani hana gari
Gari mpyaMgosani hana gari