Lolote linaweza kutokea endapo utalia kwa hisia walau hata maumivu yanaweza kupunguaKulia kamwe hakutowasaidia kwnye lolote
Kupungua kwangu siyo sababu ya wewe kukuaminisha kuwa nina UKIMWILolote linaweza kutokea endapo utalia kwa hisia walau hata maumivu yanaweza kupungua
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Unaua lakn sio kama coronaUkimwi unaua
Corona ni noma sana wanajamii tuchukue tahadhali zoteUnaua lakn sio kama corona
Zote zitaisha leoCorona ni noma sana wanajamii tuchukue tahadhali zote
Sent from my itel A31 using JamiiForums mobile app
Leo siku yangu imeisha vizuriZote zitaisha leo
Vizuri umetambua uwezo wakoLeo siku yangu imeisha vizuri
Nalog off
Wako wapi mashabiki wa Simba?Vizuri umetambua uwezo wako
Simba wamekua pakaWako wapi mashabiki wa Simba?
Paka nawapenda sana, nimefuga sana PakaSimba wamekua paka
Paka ni sahihi sababu ni jamii moja kwenye elimu ya sayansi ya wanyamaPaka nawapenda sana, nimefuga sana Paka
Wanyama wa kuitwa kunguni hogopa sanaPaka ni sahihi sababu ni jamii moja kwenye elimu ya sayansi ya wanyama
Sana umekosea kunguni ni katika jamii ya waduduWanyama wa kuitwa kunguni hogopa sana
Wadudu kwl lakn kipindi nasoma tulikuw tunawaita wanyamaSana umekosea kunguni ni katika jamii ya wadudu
Wanyama wa mbuga ya Selous ni wengi kuliko SerengetiWadudu kwl lakn kipindi nasoma tulikuw tunawaita wanyama
Serengeti lite tamu sanaWanyama wa mbuga ya Selous ni wengi kuliko Serengeti
Sana ila utalewaSerengeti lite tamu sana
Utalewa kama ukinywa nyingiSana ila utalewa
Nyingi beer hulewesha wengiUtalewa kama ukinywa nyingi