Mshindi ataondoka na kitita?Kesho mimi ndie nitatangazwa mshindi
Kitita cha pesa ukikipata kipindi hichi aiiisee shukuru sanaMshindi ataondoka na kitita?
Sana kwa sababu tozo za mshikamano zimetuchanganyaKitita cha pesa ukikipata kipindi hichi aiiisee shukuru sana
Zimetuchanganya sana watu wa tabaka la chini hatuna hamu tena ngoma nzitoSana kwa sababu tozo za mshikamano zimetuchanganya
Zimetuchanganya na kutuvurugaSana kwa sababu tozo za mshikamano zimetuchanganya
Kutuvuruga ndio hasa lengo la awamu ya sita, watafanya nishindwe kupata mke
Mke mwema ni zawadi toka kwa MunguKutuvuruga ndio hasa lengo la awamu ya sita, watafanya nishindwe kupata mke
Mke mwema ni zawadi toka kwa Mungu
Wote wanaomuabudu na kumtukuzaMungu awajalie wote
Kumtukuza Mungu bila kuwa na hela ni changamotoWote wanaomuabudu na kumtukuza
Changamoto ya kupumua haina umaatufu kama zamaniKumtukuza Mungu bila kuwa na hela ni changamoto
Zamni tulinyoa vuzi na pangaChangamoto ya kupumua haina umaatufu kama zamani
Panga la kukata majani limepoteaZamni tulinyoa vuzi na panga
Limepotea sababu wewe ni mzembePanga la kukata majani limepotea
Mzembe ndio maana amefeli mitihani
Mzembe ndio maana amefeli mitihani
Migumu mitihani ni sehemu ya kujifunzaMitihani ile ilikua migumu
Kujifunza ni sehem ya maishaMigumu mitihani ni sehemu ya kujifunza
Maisha yameanza kuharabiwa na tozo mpya za miamalaKujifunza ni sehem ya maisha