reynod
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 386
- 373
Juu sana, hali inatisha, au tuanze biashara za ungaMaisha yamekuwa juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juu sana, hali inatisha, au tuanze biashara za ungaMaisha yamekuwa juu sana
Unga kwa sasa ni bei nafuu ila huko tunakoendea!Juu sana, hali inatisha, au tuanze biashara za unga
Tunakoendea hali itakua mbaya zaid au tuhamie ZanzibarUnga kwa sasa ni bei nafuu ila huko tunakoendea!
Zanzibar kunanitisha Sana maana wazungu wengiTunakoendea hali itakua mbaya zaid au tuhamie Zanzibar
Wengi wa hao wazungu wamekwenda kutaliiZanzibar kunanitisha Sana maana wazungu wengi
Kutalii kwenu unalipa au bureWengi wa hao wazungu wamekwenda kutalii
Nalog off
Kutalii Zanzibar ni ushambaWengi wa hao wazungu wamekwenda kutalii
Nalog off
Ushamba ni mzigo
Ushamba ni mzigo
Buza kwa mpalange kuna watu wengiMzigo wangu umepotea kwenye daladala buza
Wengi wanapenda kwa mpalange skuizi!Buza kwa mpalange kuna watu wengi
Siku hizi dunia imeharibikaWengi wanapenda kwa mpalange skuizi!
Imeharibika kwa sababu ya watu wabaya sana hawana UtuSiku hizi dunia imeharibika
Utu ni kujaliImeharibika kwa sababu ya watu wabaya sana hawana Utu
Kujali kua mshindiUtu ni kujali
Kujali kua mshindi
Nani? mimi ndio mshindimshindi ni nani?
Mshindi wingi wake ni washindiNani? mimi ndio mshindi
Washindi watatangazwa keshoMshindi wingi wake ni washindi
Washindi watatangazwa kesho