reynod
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 386
- 373
wanajichubua sababu hawana helaCongo watu wamevurugwa kwelikweli wanaume wananichubua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanajichubua sababu hawana helaCongo watu wamevurugwa kwelikweli wanaume wananichubua
Hela si ndo wanatumia kununulia vipodoziwanajichubua sababu hawana hela
Vipodozi sio vizuri Kwa afyaHela si ndo wanatumia kununulia vipodozi
Afya za watanzania wengi ni dhaifuVipodozi sio vizuri Kwa afya
Nalog off
Dhaifu!umenikumbusha huu msemo kutoka kwa bwana Assad kipindi kileAfya za watanzania wengi ni dhaifu
Kipindi kile maisha yalikua mazuri sanaDhaifu!umenikumbusha huu msemo kutoka kwa bwana Assad kipindi kile
Sana tu sio kama sasa
Sana tu sio kama sasa
Yetu macho tunaangalia
Tunaangalia jinsi tunavyozidi kukandamizwa alafu tunaitwa wanyongeYetu macho tunaangalia
Wanyonge ni kina nani hasaTunaangalia jinsi tunavyozidi kukandamizwa alafu tunaitwa wanyonge
Hasa hasa ni sisi watu wa Maisha ya chini ila nlitaka kusema wazalendo nkakosea nkasema hivyo.Wanyonge ni kina nani hasa
Hivyo basi pendaneniHasa hasa ni sisi watu wa Maisha ya chini ila nlitaka kusema wazalendo nkakosea nkasema hivyo.
Pendaneni kama bwana alivyotupenda sisi wanadamuHivyo basi pendaneni
Pendaneni kama bwana alivyotupenda sisi wanadamu
Moyoni kama watu usoni kama chatuWanadamu kupenda ni ngumu kila mtu anachuk yake moyon
Chato alitoka rais wa wanyonge
Wanyonge wanyongeni ila haki yao wapeniChato alitoka rais wa wanyonge